Tazama picha ni jinsi gani mahafali hayo yalipendeza
Huu ni wakati wa marching wahitimu kuingia ukumbini
Endelea hapo kupata nyingine ziko nyingi tu
Ndani ya ukumbi na sherehe imeanza sasa
Edeni-UDOM SDA choir wakiimba
Meza kuu
Wahitimu nao wakiimba wimbo, furaha iliyoje?
The Heirs Wakiimba
Ni muda wa kugawa vyeti sasa
Hatimaye muda wa maakuli umefika
Keki hiyooooooooooooooooooo
Muda wa kukata keki(Mwenyekiti mstaafu wa TUCASA-UDOM Paschal Samson akikata keki
Hakika ilikuwa siku ya furaha sana
Mungu awabariki wote mlioifanikisha
No comments:
Post a Comment