Karibu kwenye ukurasa huu upate taarifa mbalimbali kuhusu kwaya zetu za TUCASA-UDOM
TUCASA-UDOM SDA choir inaundwa na kwaya tano (5) kutoka vitivo mbalimbali ndani ya UDOM kwaya hizo ni:
Sinai Udom SDA choir
Haleluya Udom SDA choir
Calvary Udom SDA choir
Edeni Udom SDA choir
Tumaini SDA choir
Kwaya hizi karibu zote zina matoleo mbalimbali ya CD na DVD havyo kama utahitaji wasiliana nasi kupitia thisdasoudom@gmail.com
No comments:
Post a Comment