Social Icons

Friday, October 25, 2013

MWALIKO WA MKUTANO WA INJILI

TUCASA tawi la chuo kikuu cha Dodoma yaani TUCASA-UDOM inapenda kuwaalika wote katika mikutano ya injli maarufu kama effort za ndani , miktano hiyo itaendeshwa kila College(kitivo) na wachungaji mbalimbali wa Kanisa la waadventista wa Sabato kuanzia tarehe 27/10/2013 hadi tarehe 2/10/2013 ...hivyo kila mmoja anakumbushwa kumwalika mgeni au wageni kwa kadri Bwana atakavyo mjaalia
wote mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment