Tunapenda kuwakumbusha wanchama wote wa TUCASA-DODOMA zone wote kuwa kesho tarehe 2/11/2013 tutakuwa na ibada nzuri ya kumtukuza Mungu kwa pamoja katika chuo cha St. John University jitahidi kufika. Pia tuwaalike ndugu jamaa na marafiki wote tuhdhurie kwa panoja.
Kutakuwa na masomo mbalimbali toka kwa wachungaji wetu wote. Fika tujumuike pamoja katika kuntukuza Mungu aliyetuumba.
Wote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment