Social Icons

Thursday, December 22, 2011

SHUKRANI KWA WANACHAMA

UONGOZI WA THISDASO UDOM ULIOMALIZA MUDA WAKE WA UONGOZI UNAPENDA KUWASHUKURU WANACHAMA KWA USHIRIKIANO MLIOUONESHA KWA KIPINDI CHAO CHOTE CHA UONGOZI KWA KUWAPA USHIRIKIANO WA MOJA KWA MOJA PALE MLIPOHITAJIKA KUFANYA HIVYO.

KAMA KUNA SEHEMU TULIFANYA CHINI YA KIWANGO TUNAOMBA MTUSAMEHE KWA YOTE AMBAYO HAYAKUFANYIKA KAMA VILE MLIVYOTEGEMEA.

TUNAOMBA MUWAPE USHIRIKIANO VIONGOZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KWA MWAKA UJAO WA UONGOZI.

MUNGU NA AWABARIKI NYOTE.

No comments:

Post a Comment