Social Icons

Friday, April 6, 2012

SEMINA YA KUTIANA NGUVU SOCIAL SCIENCE

Semina ya kuimarishana kiroho inaendelea social science na mchungaji Katengu anaendelea kuwabariki wapendwa wa Bwana. Inaanza saa 2 usiku kila siku mpaka saa 3 usiku. Na itakuwa ya mwezi mmoja. Nyote mnaarikwa kufika na wageni. njoni tubarikiwe pamoja.
Amina

No comments:

Post a Comment