Wanafunzi wa chuo
kikuu cha Dodoma (UDOM) Waadventista wa Sabato yaani TUCASA-UDOM hakika
wamefurahi na kusema kuwa hakika hawatajuta kusoma katika chuo hicho ila pia
hawatajuta kuwa na mlezi mzoefu katika mambo ya vijana PR. Suleiman Mange .
Maneno hayo yalisikika
baada ya wanafunzi hao kutembelea eneo la uwekezaji la Waziri mkuu wa Tanzania
Mizengo Pinda lililopo Dodoma eneo la Zuzu na kujifunza mengi kuhusu
ujasiliamali na wamesema kuwa hakika wamejifunza mengi sana na wamepata ni wapi
pa Kuanzia.
No comments:
Post a Comment