Tunapenda kuwakumbusha kuwa sabato ijayo tarehe 8/2/2014 itakuwa ni sabato ya cross boundary hivyo wapendwa mjiandae pia muandae program zenu kwa lugha ile wengi wanayoikimbia yaani lugha ya kimataifa (kingereza). Mjipange vizuri bila kukosa itakuwa ni program yenye kuvutia sana. Pia mlezi wetu Pastor Baraka Butoke atakuwa na machahe ya kusema nasi ,hivyo ni muhimu sana kuwepo siku hiyo mwanzo hadi mwisho wa vipindi.
Mungu awabariki mnapojiandaa na mitihani pia na kujiandaa na cross boundary.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment