Wote Mnakaribishwa
Sunday, March 23, 2014
MKUTANO MKUBWA WA INJILI
Tunapenda kuwakaribihsa wote katika mkutano mkubwa wa injili unaoanza leo tarehe 23/3/2014 hado tarehe 5/4/2014 katika college zetu . muda ni kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00(saa moja hadi saa tatu) usiku katika college zetu. Venue Informatics ni Common room Block 6AS, Education ni leture room 7, Humanities Lecture room 2,Social Science Thietre 1. Masomo mbali mbali yatatolewa na wainjilisti pamoja na Mchungaji Baraka Butoke kama vile mahusiano sahihi, afya, Mafundisho makuu ya imani(Mungu anataka tufanye nini).Pia kutakuwa na vipindi vya nyimbo kabla ya mahubiri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment