Hawa ni viongozi wa TUCASA_UDOM 2013/2014 wanaojiandaa kukabidhi jmosi ijayo tarehe 3/5/2014. Wakiwa katika picha za pamoja katika kikao chao cha mwisho kilichofanyika college of Informatics and Virtual Education(CIVE) wakiwa pamoja na Pastor Baraka Butoke
Viongozi katika picha ya pamoja
Viongozi katika picha ya pamoja
Mwenyekiti anaemaliza muda wake Lazaro Moris(kushoto) akiwa na mwenyekiti anaeingia Sunday Aron(kulia)
No comments:
Post a Comment