Napenda kuwaalika wote katika mahafali ya Certificates,Diploma,Bachelor na Masters ..TUCASA-DODOMA ZONE yatakayofanyika katika chuo cha Mipango siku ya tar 26 may 2013...Njoo tuwaage wenzetu na kuwapongeza kwa kupiga hatua nyingine ya maisha.. Mungu awalinde nyote
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment