Msijali wapendwa matukio ya tour iliyofanyika tarehe 19 may 2013 (tour ya ujasiliamali) yatakujia hivi karibuni.Idara ya mawasiliano inaweka mambo sawa kisha tutakuletea matukio yote zikiwemo picha,wanachama walioenda,walichojifunza huko na mambo mbalimbali yaliyofanyika kwa kina zaidi.
Msafara huo uliongozwa na Pr. Suleman .M. Mange(Mlezi wa TUCASA-UDOM) akishirikiana na ndg.Lazaro Moris(M/kiti TUCASA-UDOM)
MUNGU AWABARIKI WOTE WALIOHUDHURIA SIKU HIYO
No comments:
Post a Comment