Social Icons

Friday, May 24, 2013

SABATO YA TAREHE 25/05/2013

Napenda kuwakaribisha wote katika sabato ya kesho tar 25/05/2013 itakayofanyika kule CBE 
kumbuka ni sabato ya kanda ya Dodoma msikose ....Kutakuwa na vipindi vizuri toka kwa wanavyuo wa kanda ya Dodoma njoo ujionee... msikose



  MUNGU AWABARIKI
MUWE NA SABATO NJEMAAAAAaaaa.

No comments:

Post a Comment