Ndugu WanaTUCASA napenda kuwakumbusha kuwa kutakuwa na kikao cha wanachama wote wa Tanzania Union kitakachofanyika kupitia Skype tarehe 3/8/2013 kuanzia saa 9 alasiri
mjitahidi wote :
Ajenda :Kuleta ufanisi kwenye Effort ya Mtwara
Mungu awabariki nyote
No comments:
Post a Comment