Social Icons

Tuesday, September 24, 2013

Poleni ndugu zetu kwa Uvamizi huo

Hatuna la kusema zaidi ya kuwapa pole ndugu zetu wa Kenya na kuomba amani kwa Mungu wetu wa Mbinguni.. Mungu awe mfariji wa familia zilizofikwa na msiba huo mkubwa kwa jamaa na marafiki huko Kenya.. poleni sana

No comments:

Post a Comment