Social Icons

Tuesday, September 24, 2013

TANGAZO KWA WANA-TUCASA WOTE TANZANIA



Wapendwa viongozi wa kanda zote za ETC,WTF,SHC,SNC na NETCO na wanachama wote .Bwana ananiambia tupige mbioza mwisho ,waambie wanachama wenzako kuwa timu ya TUCASA imeshaanza kuwasili Mtwara na wengine wanajipanga na safari, hebu hata sekunde moja usikubali ipite bila kukumbuka Effort hii kubwa kwa njia ya mchango na maombi .. michango hii itaendelea kupokelewa hadi mwisho wa Effort ,wapendwa twendeni Mtwara muone jinsi Bwana atkavyowajaza mifuko yenu. Effort itaanza Jumapili ijayo tarehe 29/09/2013 . 
WAJULISHE WOTE NCHI NZIMA
 By Methusela-M/Kiti TUCASA ETC

No comments:

Post a Comment