Somo Uamsho ulioahidiwa :Hitimisho la Utume wa Mungu
Fungu la kukariri Yakobo 5:7,8
Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama, mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho. Nanyi vumilieni, mthibitishe mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia.
No comments:
Post a Comment