Social Icons

Friday, October 11, 2013

TANGAZO KWA WANA-TUCASA UDOM WOTE

Ndugu wanachama wa TUCASA-Udom mnakumbushwa kuwahi chuoni kwa ajili ya mambo mbali mbali yanayohusu chama chetu.

Kumbuka tuna makambi yetu pale chuoni ambayo yataanza punde tu baada ya kufungua chuo, pia Kuna welcome freshers ambayo itafanyika mapema sana. na mipango mingine mingi hvyo unakumbushwa kuwahi ili kufanikisha masuala hayo .
 Viongozi wote wa TUCASA-UDOM mjitahidi kufikia tarehe 21/10/2013 muwe mmefika chuoni.
Mungu awabariki
     

No comments:

Post a Comment