Tunapenda kuwajulisha kuwa blogspot yetu ya TUCASA-UDOM muda si mrefu itaanza kutoa masomo mbali mbali toka kwa wachungaji na wainjilisti mbalimbali hivyo ndugu penda kutembelea blog hii ili upate kubarikiwa na masomo hayo
pia uongeze maarifa kwa kusoma maandiko.
Mungu awabariki mnapofanya hivyo
No comments:
Post a Comment