Social Icons

Tuesday, November 12, 2013

TANGAZO KWA WAHITIMU WOTE

Tunapenda kuwakumbusha wahitimu wote wa TUCASA-UDOM kutoa pesa ya cheti kwa kila mmoja ni tsh. 4,000/= tu. mwisho wa kutoa pesa hiyo ni tarehe 20/11/2013. jitahidi utoe mapema ili utengenezewe cheti chako mapema.
Mungu akubariki unapotoa

No comments:

Post a Comment