Tunapenda kuwatangazia kuwa usajili wa wanachama wote wa TUCASA-UDOM umeanza. Hakikisha uachukua fomu kwa katibu wa kitivo chako , ijaze na kisha irudishe ambatanisha na pesa ya mfuko wa chama tsh. 5,000/= tu kama ada. ukumuke kuweka na picha ya passport size kwenye fomu yako.
mwisho wa usajili ni tarehe 15/11/2013. hivyo jitahidi usajiliwe mapema.
Mungu akubariki unapofanya hivyo
No comments:
Post a Comment