Bwana
asifiwe!!!! tunapenda kuwatangazia kuwa siku ya kutatua matatizo ya PA
system ya TUCASA-UDOM ni tarehe 11/1/2014 kutakuwa na siku nzuri kwa
ajili ya changizo kumbuka kila mwanachama aandae angalau sh 10,000 kwa
ajili ya kuchangia siku hiyo. Pia wale Associate members tunawakaribisha
kuungana nasi katika kuchangia ukiguswa like hii. tunahitaji sh milioni
4 kwa ajili ya kuboresha idara ya mawasiliano. Mungu akubariki
unapojiandaa kuchangia katika kufanikisha kazi ya MUngu.
kwa mawasiliano zaidi tumia email ya thisdasoudom@gmail.com
wote mnakaribishwa kuchangia
Mungu awabariki nyote
No comments:
Post a Comment