Ile siku ya changizo kwa ajili ya Idara ya Mawasiliano TUCASA UDOM imekaribia sana ni sabato ya wiki hii tarehe 11/01/2014 hivyo wapendwa mjiandae vizuri tunahitaji ths. 10,000/= tu kwa kila mwanachama mjitahidi tukamilishe hilo wapendwa ikiwezekana toa zaidi na utabarikiwa zaidi.
Lengo ni kupata mil. 4 za kitanzania hivyo wapendwa tujitahidi kutoa kwa moyo.
Mungu awabariki mnapojipanga kwa hilo. ikiwa kuna mtu anahitaji kushiriki nasi katika mibaraka hiyo wasiliana nasi kwenye simu no. 0654200949 na tuatakuelekeza namna ya kufikisha sadaka yako.
No comments:
Post a Comment