Social Icons

Monday, January 13, 2014

JUMA LA UAMSHO UDOM

Tunapenda kuwatangazia wanachama wa TUCASA-UDOM kuwa kuanzia wiki hii Tarehe 12 mwez wa kwanza Pr. Baraka Butoke(Butoke Junior) ambaye ni mlezi wetu ataanza program ya juma la uamsho litakaloanzia katika School of Humanities Tar. 12/1/2014 hadi 18/1/2014, Social Science Tarehe 19/1/2014 hadi 25/1/2014, Informatics Tar. 26/1/2014 hadi 1/2/2014, College of Education tarehe 2/2/2014 hadi 8/2/2014 na CHAS tarehe 9/2/2014 hadi 15/2/2014 . Neno kuu ni "NGUVU YA UPENDO"(THE POWER OF LOVE) kutoka kitabu cha Warumi 5:7-8. Wote mnakaribishwa.
Kumbukeni kuwaalika na wageni ili tushiriki pamoja hiyo mibaraka
Mungu awabariki wote mnapojiandaa kupokea neno

No comments:

Post a Comment