Wote Mnakaribishwa
Saturday, February 1, 2014
JUMA LA UAMSHO UDOM
Tunaendelea kuwakumbusha kuwa juma la uamsho linaloendeshwa na Mchungaji Baraka Butoke ambae ni mlezi wa TUCASA-UDOM ( Chaplain) linaendelea likiwa na kichwa cha The power of Love (Nguvu ya Upendo) karibu ujifunze masomo hayo muhimu katika maisha yetu ya kiroho .Sasa ni zamu ya College of Informatics and Virtual Education (CIVE) kuanzia tarehe 2/2/2014 hadi tarehe 7/2/2014.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment