Chama cha wanafunzi waadventista kutoka chuo kikuu cha Dodoma yaani TUCASA-UDOM inapenda kuwatakia mtihani mwema wapendwa wote mnaonza kuanzia jumatatu 3/2/2014 hasa wale wa UDOM Bwana awe nanyi katika mitihani yenu na muweze kufanya vyema zaidi jina la Bwana litukuzwe.
Bwana awabariki
No comments:
Post a Comment