Social Icons

Monday, March 31, 2014

PICHA ZA SEMINA YA ELIMU

Hizi ni picha mbalimbali za siku ya semina ya Elimu iliyofanyika College of Informatics and Virtual Education(CIVE-UDOM) zilizoendeshwa na Madam Devotha kutoka Eastern Tanzania Coference akiwa kiongozi wa Elimu.
Pastor Baraka Butoke akija na Seven word testemony                     

 The Heirs wakiimba




Watu wakiwa makini kutazama na Kusikiliza kinachoendelea. ilikuwa ni siku ya pekee sana
 Madam Devotha akija na somo linalosema "Kutazama sana"
UDOM  SDA Choir wakiimba

1 comment:

  1. Mbarikiwe sana wana wa Baba! Mnanikumbusha maisha yaTHISDASO wakati nilipokuwa kanda ya Dodoma! Kwa kweli tulikuwa tukibarikiwa sana.

    ReplyDelete