Mungu awabariki mnapopanga kuhudhuria
Tuesday, March 25, 2014
SEMINA YA ELIMU
Tunapenda kuwatangazia kuwa tarehe 28/04/2014 kutakuwa na semina kubwa ya Elimu(How to score high) itakayoendeshwa na Kiongozi wa idara ya Elimu toka ETC katika College of Informatics and Virtual Education Venue ni FL1 kuanzia saa 1:30 jioni hadi saa 4 usiku. Jitahidi uje upate elimu itakayosaidia maisha yako kwaya mbali mbali zitahudumu kama vile Edeni-Udom,Sinai-Udom, Calvary-Udom,Haleluya-Udom na Tumaini-Udom.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment