Social Icons

Choir

Karibu kwenye ukurasa huu upate taarifa mbalimbali kuhusu kwaya zetu za TUCASA-UDOM
TUCASA-UDOM SDA choir inaundwa na kwaya tano (5) kutoka vitivo mbalimbali ndani ya UDOM kwaya hizo ni:
  1. Sinai Udom SDA choir
  2. Haleluya Udom SDA choir
  3. Calvary Udom SDA choir
  4. Edeni Udom SDA choir
  5. Tumaini SDA choir
Kwaya hizi karibu zote zina matoleo mbalimbali ya CD na  DVD havyo kama utahitaji wasiliana nasi kupitia thisdasoudom@gmail.com

No comments:

Post a Comment