Social Icons

Friday, May 17, 2013

IBADA KESHO TAR 18/05/2013

Napenda kuwakaribisha watu wote katika ibada ya kesho itakayofanyika Humanities kumbuka kufika asubuhi na mapema ili kumtukuza Mungu katika ibada yake takatifu ya Siku ya sabato siku ya Pumziko
                Mungu awabariki sana Mnapojiandaa

No comments:

Post a Comment