Social Icons

Tuesday, May 28, 2013

ZIARA YA UJASILRIAMALI

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Waadventista wa Sabato yaani TUCASA-UDOM hakika wamefurahi na kusema kuwa hakika hawatajuta kusoma katika chuo hicho ila pia hawatajuta kuwa na mlezi mzoefu katika mambo ya vijana PR. Suleiman Mange .
Maneno hayo yalisikika baada ya wanafunzi hao kutembelea eneo la uwekezaji la Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda lililopo Dodoma eneo la Zuzu na kujifunza mengi kuhusu ujasiliamali na wamesema kuwa hakika wamejifunza mengi sana na wamepata ni wapi pa Kuanzia.

No comments:

Post a Comment