Social Icons

Sunday, February 9, 2014

SASA NI ZAMU YA COED

Hatimaye imefikia zamu ya College of Education kuanza juma la uamsho linaloendeshwa na Pastor Baraka Butoke(Chaplain wa TUCASA-UDOM) Kuanzia leo tarehe 9/2/2014 mpaka kufikia tarehe 14/2/2014. Tunapenda kuwakumbusha wote kuhundhuria, tunajua kuwa tupo katika kipindi cha mitihani lakini kumbuka kumfanya Mungu awe wa kwanza katika maisha yetu ndipo mambo mengine yafuate. Pia kumbuka kuja na mgeni . Huduma ya maombi kwa ajili ya mitihani itafanyika hivyo kumbuka kufika na mgeni pia kwa ajili ya kujifunza maneno ya tumaini kuhusu "THE POWER OF LOVE"....
Mungu awabariki mnapofanya hivyo

No comments:

Post a Comment