Social Icons

Saturday, February 1, 2014

JUMA LA UAMSHO UDOM

Tunaendelea kuwakumbusha kuwa juma  la uamsho linaloendeshwa na Mchungaji Baraka Butoke ambae ni mlezi wa TUCASA-UDOM ( Chaplain) linaendelea likiwa na kichwa cha The power of Love (Nguvu ya Upendo) karibu ujifunze masomo hayo muhimu katika maisha yetu ya kiroho .Sasa ni zamu ya College of Informatics and Virtual Education (CIVE) kuanzia tarehe 2/2/2014 hadi tarehe 7/2/2014.
Wote Mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment